| Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na viongozi wa  Jumuiya  za 
Wafanyabiashara wa kati wa Kariakooo na Mikoani kuhusu mgogoro wa 
matumizi  ya mashine za TRA, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Feb 12, 
2014- usiku.Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Adam Malima.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) | 
No comments:
Post a Comment