JIDE KAMA JACKIE CHAIN
Mwanadada Jide kwa sasa yupo kwenye mazoezi ya Karate
 ili kuuweka mwili wake uwe vizuri na ujijenge kwa lolote litakalokuwa 
likitinga mbele yake ili akabiliane nalo. Jide akitumia account yake ya 
Facebook ametupia picha hizi ambazo ziko hapa akiwa na vazi jipyaaaaaaaa
 kabisa tayari kwa kuyamudu mazoezi hayo.
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment