MTOTO WA MGIMWA KUGOMBEA UBUNGE KALENGA 
Katibu
 wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha kwa waandishi wa 
habari, mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, 
Iringa, Godfrey William Mgimwa (kushoto), leo, katika Ofisi Ndogo ya 
Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Nape amemtambulisha 
Godfrey ambaye ni mtoto wa Marehemu Dk. William Mgimwa, baada ya Kamati 
Kuu ya CCM kumpitisha, leo kuwania nafasi hiyo ya Ubunge. (Picha na 
Bashir Nkoromo) 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment