Kwa mujibu wa taarifa toka kwa mkurugenzi Mkuu wa Super Feo Express kuanzia tarehe 1/4/2014 mabasi ya super feo yataanza rasmi safari ya Songea,Dodoma kupita Mtera na basi litakua likitoka songea saa 12:00asbh na kufika Dodoma saa 11:10 jioni na kurudi songea katika muda kama huo na nauli itakua sh 38,500 tu za kitanzania KARIBU SUPER FEO EXPRESS
No comments:
Post a Comment