hapa eneo la Mikese, Morogoro,  magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na 
kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni
 dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau Sixmund
 Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea
 Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka
Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto huo




 
No comments:
Post a Comment