Bibi Enea mwenye umri zaidi ya miaka 80 mkazi wa
Ilolo akituonyesha jinsi maji yalivyoharibu vitu vyake
|
Mwandishi wa Mbeya
yetu joseph mwaisango akimpa pole bibi Enea kwa kumpa kiasi kidogo cha msaada
ili kimsaidie kwa siku hiyo maana chakula chote kimeharibika na maji
|
Kanisa la Moravian
Ilolo likiwa limejaa maji ndani
|
Hakika inasikitisha
watoto hawa wametoka shule wanakuta nyumba yao imebomoka na mvua kubwa
ilionyesha jijini Mbeya wazahi wa watoto hao hawakuwepo nyumbani
|
Mwenyekiti wa mataa
Sinde A Anyandwile Mwansanu akiongea na waandishi wa habari
|
Mama na mwanae
mgongoni hajui aanzie wapi kutoa maji yalioingia nyumbani kwake
|
|
No comments:
Post a Comment