 Mkurugenzi
 Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga  Tanzania (TCAA) Fadhili  Manongi  
na   Mkurugenzi Msaidizi wa  Mamlaka ya Usafiri wa  Anga wa China 
(CAAC)Li Jian  wapili kutoka (kulia) wakisaini mkataba wa  ushirikiano 
wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo  Ndege zinazotengenezwa nchini 
China  zitaruhusiwa  kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo 
uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha   Mamlaka hiyo hapa 
nchini  kuweza  kujenga  kwa wataalam kuweza kudhibiti Ubora wa Ndege 
hizo kutoka China. Kutoka Kushoto ni Mwanashereia wa TCAA  Vallery 
Chamulungu na  Kulia ni  Executive Vice President of  Aviation Industry 
Corporation of China (AVIC)   Mr. Geng Runguang.

 Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Fadhili Manongi na 
Mkurugenzi Msaidizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa China (CAAC)Li Jian
 (kulia) wakikabidhiana hati za mkataba wa ushirikiano wa maswala ya 
Usafiri wa Anga , ambapo Ndege zinazotengenezwa nchini China 
zitaruhusiwa kutua katika Anga ya Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa leo 
katika katika Makao makuu ya ofisi hiyo jijinia Dar es Salaam.

Baadhi
 ya wajumbe Kutoka nchini China waliohudhuria hafla ya utiliwaji mkataba
 wa ushirikiano wa maswala ya Usafiri wa Anga , ambapo Ndege 
zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa kutua katika Anga ya 
Tanzania. Mkataba huo uliosainiwa jijinia Dar es Salaam, utawawezesha 
wataalam wa TCAA kudhibiti Ubora wa Ndege hizo kutoka China.

Viongozi
 wa kuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) na Viongozi wa 
Mamlaka ya Usafiri wa Anga China (CAAC) wakiwa katika Picha ya Pomoja 
baada ya kusaini mkataba wa Ushirikiano wa maswala ya usafiri wa anga 
ambapo ndege zinazotengenezwa nchini China zitaruhusiwa kutuoa katika 
anga la Tanzania.
Chanzo: Michuzi 
 
No comments:
Post a Comment