| Kijana ambae jina lake halija famika mpaka sasa,aneishi mwananyamala dar es salaam anae semekana kuwa ni mwanafunzi ambae alimaliza kidato
 cha nne mwaka jana yan elfu 2013 alikutwa amejichoma kisu shingoni na
 kuwahishwa hospital ,huku chanzo kikisemekana kuwa ni matokeo yako ya
 kidato cha nne,matokeo yake hayakuwa mazuri maana amefeli kwa kupata
 ziro...
 | 
No comments:
Post a Comment