WAFUASI WA CCM WAKIWA NA FURAHA WA USHIDI WAO MJINI KAHAMA  
 MANDAMANO YA MSAFARA WA PIKIPIKI MJINI KAHAMA HUKITOKEA KATA YA UBAGWE LEO 
 KATIBU WA JUMUIYA YA WAZAZI SHARON TULLY AKIWA NA KATIBU MSAIDIZI WA 
CCM AZIZA JUMA WAKATI WA MAPOKEZI YA DIWANI MTEULIWA WA CCM 
 WANACHAMA WA CCM WILAYA KAHAMA WAKIWA NA FURAHA YA USHIDI HUKU WAKIWA NA MACHUGU YA MAPANGA NA NODO 
 WANACHAMA WA CCM WAKIFURAHIA USHINDI MJINI KAHAMA KATIKA OFISI YA CCM WILAYA 
 MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI WILAYANI KAHAMA LEORNIDA AOKO  MARUFU 
KWA JINA LA MAMA( AOKO ).MWENYE KANGA MABENGANI AKIWASILI KATIKA OFISI 
YA CCM WILAYA KAHAMA BAADA YA KUNUSURIKA NA MAPANGA YA WAFASI WA CHAMA 
FULANI AMBACHO KINAZANIWA NI CHADEMA  
 KATIBU WA UMOJA WA VIJANA CCM KAHAMA MKOLA ATHUMANI MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA KHAMIS MGEJA AKIWASILI KATIKA OFISI YA CCM WILAYA KAHAMA TOKA UBAGWE LEO MCHANA
 KATIBU  WA UMOJA WA VIJANA CCM  WILAYA YA KAHAMA MKOLA ATHUMANI SIJUI KASHIKA NINI MKONONI
MWENYEKITI WA CCM KHAMIS MGEJA AKIMTAMBULISHA DIWANI MTEULI HAMIS MAJONGOLO WA KATA YA UBAGWE LEO
 BAADHI YA MAJERUHI WA CCM WAKIWA NA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA
 KHAMIS MGEJA LEO MBELE KATI NI SUBIRA AOKO NA KATIBU MUENEZI WA CCM 
WILAYA YA KAHAMA MASOOD MELI MELI 
 BAADHI YA WANA CCM WAKIMSKILIZA KWA MAKINI MWENYEKITI WA CCM MKOA WA 
SHINYANGA KHAMIS MGEJA WAKATI WA MKUTANO WA KUWASHURU WANA CCM 
 MWENYEKITI WA CCM AKIWAHUTUBIA WANA CCM 
 KANDA WA CCM SUBIRA AOKO AKIONYESHA JERAHA LAKE LA KUKATWA NA MAPANGA NA WAFASI WA CHADEMA KWENYE MKUTANO WA HADHARA LEO 
 WANA CCM WAKISHANGILA USHINDI LEO BAADA YA KUWASILI KAHAMA MJI WAKIWA NA MGOMBEA WA CCM LEO 
 NI FURAHA TUPU HAPA CHENZEA CCM WEWE ACHA TU 
 MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA KHAMIS MGEJA AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA KAHAMA MJINI 
HUYU NDIYE DIWANI MTEULI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KATA TA UBAGWE HAMIS
 MAJONGOLO AMBAYE ALIIBUKA NA USHINDI WA KURA 323 KATI YA KURA 640 
ZILIZOPIGWA KATIKA UCHANGUZI MDOGO WA UDIWANI( Na  mwandishi  wamatukiodaima.com kanda ya Ziwa Wiliam Bundala )
 
No comments:
Post a Comment