NAIBU WAZIRI CHARLES KITWANGA APOKEA SHEHENA YA MWISHO YA MABOMBA YA GESI
Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Mhe. Charles
Kitwanga, amepokea Shehena ya mwisho ya mabomba ya gesi katika bandari ya
Mtwara na kueleza kuwa, ujio wa miundo mbinu hiyo ni neema kwa uchumi wa
Tanzania. *
*Aliongeza kuwa, hiyo ni hatua kubwa katika kufikia malengo tarajiwa
ikizingatiwa kwamba, kukamilika kwa mradi huo kutachochea na kufungua njia
mbalimbali za uchumi unaoendana na sekta ya gesi na mafuta.
No comments:
Post a Comment