Naibu
 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba akitoa 
hotuba yake wakati wa kufunga kongamano la siku tatu la uhamaji wa mfumo
 wa utangazaji kutoka Analojia kwenda Dijitali kwa Afrika (DBSF) 2014 
katika Hoteli ya Naura Spring jijini Arusha. Kongamano hilo la 9 
liliandaliwa na Shirika la Utangazaji kwa Nchi za Jumuia ya Madola (CTO)
 kwa ushirikiano mkubwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na 
Srikali ya Tanzania ambao ndio wenyeji.
 Mgeni
 rasmi katika ufungaji wa Kongamano hilo la DBSF 2014, Naibu Waziri wa 
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba (wapili Kushoto), 
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma 
(kushoto) Katibu Mtendaji wa CTO, Tim Unwin (wapili kulia) na  
Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka TCRA, Habbi Gunze.  
 Mkurugenzi
 wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (kulia) 
akizungumza kabla ya Mgeni rasmi kufungaji  Kongamano hilo la DBSF 2014 
katika Hoteli ya Naura jijini Arusha leo. Naibu 
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba 
(Kushoto),  Katibu Mtendaji wa CTO, Tim Unwin (katikati) na  Mkurugenzi 
wa Utangazaji kutoka TCRA, Habbi Gunze. 
Mkurugenzi
 wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (kulia) 
akizungumza kabla ya Mgeni rasmi kufungaji  Kongamano hilo la DBSF 2014 
katika Hoteli ya Naura jijini Arusha leo 
  
 Katibu
 Mtendaji wa CTO, Tim Unwin akisema neno la shukrani kwa washiriki na 
wageni wote kwa kufanikisha kongamano hilo la DBSF 2014 katika Hoteli ya
 Naura Spring jijini Arusha.
 Waandishi wa habari wakiwajibika wakati wa ufungaji.
 Naibu
 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba akifanya 
mahojiano maalum na waandishi wa habari jijini Arusha.
 
No comments:
Post a Comment