Sunday, 2 February 2014

SHAROBARO IS BACK! UNAYAKUMBUKA MABASI YETU YA KIBISHOO YENYE TV KILA SITI HAYA HAPA YAMEPONA


Masharobaro yakiwa katika marekebisho ya mwisho mwisho kabla hayajarudi kwenye safari zake za mbeya songea

sehemu ya ndani ya sharobaro inavyoonekana

No comments: