Kocha Stewart Hall akifanya tasmini katika mchezo wa kirafiki wa kumkaribisha maji maji fc baina ya Songea combine na maji maji fc jioni hii
mchezo ukiendelea baina ya majimaji fc na songea combine mpaka sasa ni 1-0 maji maji inaongoza
jukwaa hili limekua likizomea muda wote wa mchezo sijui kwanini?
jukwaa hili wao wamekaa kimya nayo pia sababu ya kukaa kimya sijui ni nini?
No comments:
Post a Comment