WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO. 
            TAREHE 19/02/2014.
| 
 [Mikoa ya Iringa,  Mbeya, Rukwa na Ruvuma]: [Mikoa ya Arusha,
  Kilimanjaro na Manyara]: 
 [Mikoa ya Dodoma na Singida]: 
[Mkoa wa Morogoro
  (kusini)]: |  | 
Hali ya Mawingu, mvua na
  ngurumo kwa baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua  | 
| 
[Mikoa ya Mara, Mwanza na
  Shinyanga]:  
[Mikoa ya Kagera, Kigoma na
  Tabora]:  
[Mikoa ya Lindi, na Mtwara]: |  | 
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
  na ngurumo katika maeneo machache na vipindi i vya jua | 
| 
[Mikoa ya Dar es salaam,
  Pwani na Morogoro]: 
[Mkoa wa Tanga, Visiwa vya
  Unguja na Pemba]:    |  | 
Hali ya Mawingu kiasi,  mvua nyepesi  katika maeneo machache na vipindi vya  jua | 
TAHADHARI:
- UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MWAMBAO WOTE WA PWANI (LINDI, MTWARA, TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
- VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA: IRINGA, MBEYA, MOROGORO, RUVUMA, RUKWA, ARUSHA, MANYARA, KILIMANJARO, DODOMA NA SINGIDA.
 VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
| 
MJI | 
Kiwango
  cha juu cha joto | 
Kiwango
  cha chini cha joto | 
Mawio
  (Saa) | 
Machweo
  (Saa) | 
| 
ARUSHA | 
24°C                            | 
16°C               
   | 
12:42 | 
12:53 | 
| 
D'SALAAM | 
31°C           
   | 
24°C | 
12:28 | 
12:46 | 
| 
DODOMA | 
29°C | 
20°C  | 
12:42 | 
01:00 | 
| 
KIGOMA       | 
29°C | 
20°C | 
01:07 | 
01:22 | 
| 
MBEYA | 
24°C | 
16°C | 
12:49 | 
01:11 | 
| 
MWANZA | 
28°C | 
19°C | 
12:57 | 
01:07 | 
| 
TABORA | 
30°C | 
19°C | 
12:55 | 
01:10 | 
| TANGA | 
30°C | 
25°C           
   | 
12:30 | 
12:45 | 
| 
ZANZIBAR | 
30°C           
   | 
25°C           
   | 
12:28 | 
12:46 | 
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa;  kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya  Kaskazini na
kutoka Kaskazini
kwa Pwani ya Kusini. 
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa.
Matazamio kwa siku ya Ijumaa:
21/02/2014: Mabadiliko kidogo.   
 Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 19/02/2014.
Na: MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA
 
No comments:
Post a Comment