 Katika
 hali ya kusikitisha ,kuhuzunisha na isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja 
mkazi wa kijiji cha Mwakuhenga wilayani Kahama mkoani Shinyanga amemuua 
mama yake kwa kumkata na jembe kichwani na kusababisha kifo chake.

Habari 
kutoka Kahama zinasema tukio hilo limetokea jana majira ya saa mbili 
usiku na chanzo halisi cha tukio hilo bado hakijajulikana.
 
No comments:
Post a Comment