BAADA YA MBINGA - DSM SASA NI ZAMU YA SONGEA - DOM.KAENI MKAO WA KULA MFALME WA KUSINI ANAKUJA !!!!!!
Habari zilizothibitishwa hivi punde na mkurugenzi mkuu wa Super Feo Express kuanzia muda wowote toka sasa kampuni ya Super Feo itaanza safari mpya ya SONGEA-DODOMA via MTELA tutaendelea kuwajuza zaidi kinachoendelea
No comments:
Post a Comment