| Meneja wa TRA Iringa | 
WAFANYABIASHARA
  mkoani Iringa wafanya mgomo baridi  wa  kufungua maduka yao huku 
wakipita mitaani kuwafanyia  vurugu wenzao wanaogoma kufunga maduka yao kama sehemu ya hatua ya kuishinikiza serikali kuachana na kuwalazimisha kununua  mashine za kodi za kielektroniki (EFD)
 Hatua
  hiyo imepelekea serikali mkoa wa Iringa ikitoa onyo kali kwa  kikundi 
cha  wafanyabiashara  wanaowafanyia fujo wengine  na kuliagiza jeshi la 
polisi  kuwakamata .
 
No comments:
Post a Comment