Thursday 13 February 2014

WASAFIRISHAJI WA ABIRIA TOKA SONGEA KWENDA MBINGA MKOANI RUVUMA WAGOMA LEO KISA PUNGUZO LA NAULI

Abiria wanaosafiri kati SONGEA na MBINGA Mkoani RUVUMA wamekwama kwa saa tano kwenda katika safari zao kufuatia mgomo wa mabasi ya abiria uliozuka leo asubuhi baada ya Mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa ardhini na Majini SUMATRA kuamuru kushushwa kwa nauli kutoka shilingi 4,500 hadi shilingi 3,700 kwa kila abiria bonyeza PLAY hapo juu  kuona hali ilivyokua.

No comments: