Wednesday, 19 February 2014

Hili ndilo Lori lililolipuka Jioni ya February 19 Singida.

444
Taarifa kutoka mkoani Singida zinasema kuwa Lori la mafuta limeanguka jioni ya February 19 katika eneo la milima ya sekenke na kuua watu wanne hapohapo.
222222
Chanzo cha ajali hiyo ni inasemekana ni kufeli kwa breki wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo,miongoni mwa mashuhuda wa ajali hiyo Bwana Julius Chacha alipoongea na mtandao Dj sek blog na kusema Lori hilo lilipoacha njia lilipinduka na kuingia bondeni.
333
 Mara baada ya kuingia bondeni Lori hilo lilishika moto na mashuhuda hao walishindwa kutoa msaada wowote kwa kwa moto uliposhika ulikuwa mkubwa na hawakuwa na vifaa vya kuokolea.
222 
Taarifa mpaka sasa inasema Watu wanne wamekuufa papo hapo kutokana na ajali hiyo,mashuhuda wanadai polisi walichelewa kufika eneo la tukio na millardayo.com inaendelea kufatilia taarifa hizi.
111

111111

No comments: