Monday 10 February 2014

HIVI NI VITUO VYA MABASI HUKO DUBAI KESHO NTAKUWEKEA VYA SONGEA



dubai 2


Dubai ni sehemu ambayo hata nchi nyingi kubwa duniani zinaipa salute… ni sehemu ambayo imejengwa kwenye miaka ya karibuni hivyo kufanya vitu vyake vingi kuwa vya kisasa na vyenye ubunifu mkubwa.
Ni sehemu ambayo pia unaambiwa ina usalama mkubwa duniani.

Dubai 1

dubai 3

dubai 4

dubai 5

dubai 6

dubai 7

dubai 8

dubai 9

dubai 10

No comments: