Sunday 9 February 2014

TAA ZA STENDI KUU SONGEA HAZIWAKI USIKU GIZA KAMA KAWAIDA

moja ya mlingoti wa taa zilizopo stendi kuu ya mabasi songea taa hizi zipo kama mapambo kwa sababu hazifanyi kazi kwa sasa
                             baadhi ya taa zikiwa zimeharibika bila kufanyiwa marekebisho
hapa sijui tumlaumu nani tanesco au manispaa ya songea?

No comments: