WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 19/02/2014.
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]: [Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mkoa wa Morogoro
(kusini)]:
|
|
Hali ya Mawingu, mvua na
ngurumo kwa baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
|
[Mikoa ya Mara, Mwanza na
Shinyanga]:
[Mikoa ya Kagera, Kigoma na
Tabora]:
[Mikoa ya Lindi, na Mtwara]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi i vya jua
|
[Mikoa ya Dar es salaam,
Pwani na Morogoro]:
[Mkoa wa Tanga, Visiwa vya
Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
TAHADHARI:
- UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA YANATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MWAMBAO WOTE WA PWANI (LINDI, MTWARA, TANGA, PWANI, DAR ES SALAAM PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA).
- VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA: IRINGA, MBEYA, MOROGORO, RUVUMA, RUKWA, ARUSHA, MANYARA, KILIMANJARO, DODOMA NA SINGIDA.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
24°C
|
16°C
|
12:42
|
12:53
|
D'SALAAM
|
31°C
|
24°C
|
12:28
|
12:46
|
DODOMA
|
29°C
|
20°C
|
12:42
|
01:00
|
KIGOMA
|
29°C
|
20°C
|
01:07
|
01:22
|
MBEYA
|
24°C
|
16°C
|
12:49
|
01:11
|
MWANZA
|
28°C
|
19°C
|
12:57
|
01:07
|
TABORA
|
30°C
|
19°C
|
12:55
|
01:10
|
TANGA |
30°C
|
25°C
|
12:30
|
12:45
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
25°C
|
12:28
|
12:46
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa; kutoka Kaskazini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na
kutoka Kaskazini
kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi makubwa.
Matazamio kwa siku ya Ijumaa:
21/02/2014: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe 19/02/2014.
Na: MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA
No comments:
Post a Comment