Tuesday 11 February 2014

UMAKINI WA KUTOSHA

        Dereva wa basi hili anaitwa Gulamu Chikoko na hii ni T 824 CKR chuma hii ina TV 5 na black box kwa ajili ya kujua chanzo cha ajali au wizi kama unatokea ndani ya basi SUPER FEO EXPRESS IN GOO WE TRUST

No comments: