Thursday 13 February 2014

MAPYA USIKILIZAJI WA KESI YA MTUHUMIWA WA MAUWAJI YA MWANGOSI, MWENYEKITI WANAHABARI IRINGA AKAMATWA ,MTUHUMIWA AKIMBIZWA MAHAKAMANI KWA GARI LA WP

 Hapa gari hii  iliyokuwa ikiendeshwa Na WP akisogezwa  ili  kumpakia  askari  mwenzao hamakamani hapo
 Hapa  gari  likisogezwa  upande wa  pili baada ya upande  huu kuona waandishi  wametanda na kamera
 Hapa  polisi kanzu  wakijiandaa kufungua mlango  ili kumficha mwenzao
 hapa  wakimuingiza katika  gari huku  wakiwa  wamemfunika usoni kama anavyoonekana wa pili kushoto

 Hapa  wakimsukumiza katika gari  hilo
 gari  hilo likitoka kwa mwendo wa kasi mahakamani hapo likiwa na mtuhumiwa wa mauwaji ya Mwangosi

 Mwanahabari Frank Leonard baada ya  kuachiwa  huru na polisi  leo
..............................................................................................................
 

No comments: