Tuesday 25 February 2014

Kikwazo kingine kutoka kwa Chris Brown.

chris-brown-2013-650-430-b
February 22 Chris Brown ametangaza siku atakayoachia rasmi album yake ambayo kwa mwaka jana ni mara kadhaa imekua ikihairishwa kutokana na sababu mbalimbali,jina la ulbum hiyo ni X ambayo ina tafsiri nyingi huku wengine wakidai ni kama maalum kwa X wake.
Leo february 25 Chrss Brown ametweet maneno haya>>My old manager is leaking my NEW album music and refuses to give me my back up hard drive to sabotage my album.That’s F’d up G!’.
chris-tweet

Tweet hiyo baadae aliifuta Chris Brown kwa sasa kamaliza ile program yake ya kukaa rehab ya siku 90 ambayo iliamuriwa na mahakamam mwaka 2013,bado maswali yapo juu ya album hiyo kama itatoka may 05 kama alivyotangaza jana au itashindikana kwa kile alichokiandika kuhusu kuvujishwa kwa nyimbo hizo na huyo aliyekua meneja wake ikiwa ni pamoja na kugoma kumpatia back up hard drive yake.
Chris Brown  February 22 alitweet na kutoa rasmi tarehe ya kuachiwa album hiyo yake hiyo aliyoipa jina la  X ambayo ilikua itoke July 2013.

No comments: