Saturday, 22 February 2014

Jingine jipya hili hapa la Emmanuel Okwi

OKWIWiki moja baada ya kuruhusiwa kuichezea klabu ya Yanga, leo hii mshambuliaji wa kimataifa wa timu hiyo Emmanuel Arnold Okwi ametangazwa kuwa miongoni mwa wachezaji 11 watakaonza mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya  Ruvu Shooting.
Kupitia mtandao rasmi wa klabu ya Yanga muda mfupi uliopita yametangazwa majina ya wachezaji wa timu hiyo watakaohusika na mchezo wa leo na jina la Okwi lipo ndani ya listi hiyo.
KIKOSI KAMILI CHA YANGA LEO
1. Deogratias Munish -30
2. Mbuyu Twite – 6
3. Oscar Koshua – 4
4. Nadir Haroub – 23
5. Kelvin Yondani – 5
6. Frank Domayo – 18
7. Saimon Msuva – 27
8. Mrisho Ngasa – 17
9. Didier Kavumbagu – 7
10. Emmanuel Okwi – 25
11. Hamis Kizza – 20
Subs:
1. Juma Kaseja – 1
2. Juma Abdul – 12
3. David Luhende – 3
4. Rajab Zahir – 14
5. Athuman Idd – 24
6. Hassan Dilunga – 26
7. Said Bahanuzi – 11

No comments: