Thursday 20 February 2014

Mwanamieleka wa WWE Big Daddy V amefariki



Big Daddy V enzi za uhai wake.




Big Daddy V akiwa kazini enzi za uhai wake.
Mwanamieleka wa WWE, Nelson Frazier maarufu kama Mabel, Viscera na Big Daddy V amefariki dunia kwa
ugonjwa wa moyo jana Jumanne. Big Daddy V amefariki akiwa na umri wa miaka 43.

No comments: