Wednesday 19 February 2014

BREAKING NEWS!!!!!!!!!!!!!!!! MBINGA EXPRESS YAPATA AJALI WINO JIONI HII

Gali hii inafanya safari kati ya njombe na mbinga kila siku imepata ajali jioni hii eneo la wino wakati ikitoka njombe kuelekea mbinga baadhi ya watu wamejuruhiwa idadi yao mpaka sasa haijajulikana na chanzo cha ajali hiyo pia hakijajulikana
               Dereva wa gari hilo aliyefahamika kwa jina la Heri Kibumo amekimbia baada ya tukio hilo
Chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni mwendo kasi na barabara kuteleza katika eneo kutokana mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo hayo.
               Gari ikiwa imeacha njia na kuegemea ukingo wa barabara ya njombe-songea mapema leo

No comments: