Monday, 10 February 2014

MGOMO WA WAFANYABIASHARA WA SONGEA UNAENDELEA MPAKA SASA.

Wafanya biashara wa maduka mjini Songea wamefanya mgomo wakuto kufungua maduka kwa siku sizojulikana wakipinga mashine za kutolea risiti za TRA.(EFD) 

Wananchi wakiangaika kutafuta maitaji baada ya maduka yote kufungwa.




Maduka ya vifaa vya ujenzi nayo yamefungwa.
Mmoja wa mfanyabiashara ya duka akifunga duka lahe.
 
 Wafanyabiashara wa mjini Songea waliogoma wakijadiliana.
 Maduka ya madawa yote mjini Songea nayo yamefungwa .
Wananchi awajui wapi wakapate uduma.

No comments: