Wednesday 12 February 2014

TAZAMA HATUA ZA UTENGENEZAJI WA BASI LA SUPER FEO LENYE TV KILA SITI LINAKATA KONA TAILI ZA MBELE NA NYUMA MAALUFU KAMA SHAROBARO


                                                 muonekano wa awali kabla ya finishing

                       muonekano wa nnje baada ya finishing likiwa china linasubiri kupanda meli
                     ukaguzi wa mwisho kuakikisha kama lipo salama ili lije kutumika na wanasongea
                                               munekano wa ndani baada ya finishing


No comments: