Sunday, 9 February 2014

MVUA ZASABABISHA BASI ZA SUPER FEO KUSIMAMA KWENDA MPAKANI


Moja ya mabasi yetu linalofanya safari kati ya songea kwenda mpaka wa msumbiji na tanzania likiwa limesimama katika kituo chetu cha matengenezo mapema leo si kwamba ni bovu hapana ila limesitisha safari kutokana na ubora wa barabara kutokuwa mzuri kipindi hiki cha mvua

No comments: