Monday 10 February 2014

MGOMO WA WAFANYABIASHARA IRINGA NAKO KAMA SONGEA

Meneja  wa TRA Iringa 







WAFANYABIASHARA  mkoani Iringa wafanya mgomo baridi  wa  kufungua maduka yao huku wakipita mitaani kuwafanyia  vurugu wenzao wanaogoma kufunga maduka yao kama sehemu ya hatua ya kuishinikiza serikali kuachana na kuwalazimisha kununua  mashine za kodi za kielektroniki (EFD)

 Hatua  hiyo imepelekea serikali mkoa wa Iringa ikitoa onyo kali kwa  kikundi cha  wafanyabiashara  wanaowafanyia fujo wengine  na kuliagiza jeshi la polisi  kuwakamata .

No comments: