MWANAMKE IRINGA ANASWA USIKU KUAMKIA LEO AKITAKA KUMTOROSHA MFANYAKAZI WA NDANI KWENDA DAR 
Wananchi wa Frelimo mjini Iringa wakiwa wamemweka chini ya ulinzi 
mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Zuhura Angero ambae anatuhumiwa 
kutaka kumtorosha binti wa kazi kwa ajili ya kwenda Dar es Saalam 
kufanya kazi za ndani 
 
Mwanamke aliyekamatwa akitaka kumtorosha binti kwa ajili ya kazi za ndani 
 
Mwanamke huyo akiwa na binti aliyetaka kumtorosha 
Hapa akiwa chini ya ulinzi wa polisi jamii.
 
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment