Tuesday, 21 January 2014

MSIMAMO WA RAIS OBAMA KUHUSU UHALALISHWAJI WA BANGI MAREKANI


Rais Obama amekuja na mtazamo tofauti kuhusu uhalali wa bangi (Marijuana), na ndipo alipoamua kuweka bayana msimamo wake kuhusu uhalalishwaji wa bangi huko Colorado na Washington alipofanyiwa mahojiano marefu na jarida la New Yorker, linalochapishwa jumapili.

Obama amenukuliwa akisema "sidhani kama(bangi) ni hatari zaidi kuliko pombe" (Pichani)

Kuhusu majimbo hayo mawili yaliyohalalisha bangi (Pot) Obama alisema “ni muhimu kwenda mbele zaidi na muhimu sana kwa jamii kuepuka kiasi kikubwa cha watu kwa wakati mmoja au mwingine kuvunja sheria na wachache ndio kuhukumiwa”

Akimaanisha: “Watoto wa daraja la kati wanafungwa kwa kuvuta bangi, na watoto maskini pia…na watoto wa asili ya Afrika na watoto wa Kilatino wanaishia kuwa maskini na kwa kiasi kikubwa kukosa rasili mali na kuungwa mkono kwa kutohukumiwa na kupigwa faini kubwa”

Rais Obama hajasema lolote kuhusu kuhalalishwa kwa bangi katika taifa la Mareka

No comments: