Mweneyekiti wa serikali ya Mtaa wa yombo Bwana Athuman Maembe amesema kundi la kiharamia la watoto wa Mbwamwitu linaraditibiwa na Mtoto wa Mzee Lukosi.
Kundi hili linafanya uporaji wa mali za wananchi katika eneo la kiwalani.
Jana majira ya jioni kundi hilo lilivamia mitaa mbalimbali na kupora watu pesa na kuwakatakata watu kwa mapanga kulipiza kisasa cha wenzao wawili ambao waliuliwa juzi na wananchi wenye hasira kali kwa kuwachoma moto
Thursday, 16 January 2014
Hali ya Usalama Dar si nzuri, Kundi la 'Watoto wa Mbwamwitu' lawa tishio Ilala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment