Nay kwenye Video Siwema
Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wake anayefahamika kwa jina moja la Siwema UCHUMBA WAO umedaiwa kuvunjika.
Kwa
mujibu wa chanzo makini, chanzo cha kumwagana ni baada ya Siwema kukuta
meseji za watoto wa kike tofauti katika simu ya Nay wa Mitego katika
nyakati tofauti.
Chanzo
hicho kimeeleza kuwa, wawili hao walimwagana tangu Januari 2, mwaka
huu, nyumbani kwa Nay wa Mitego, Manzese jijini Dar es Salaam baada.
Kwa
mujibu wa chanzo makini, chanzo cha kumwagana ni baada ya Siwema kukuta
meseji za watoto wa kike tofauti katika simu ya Nay wa Mitego katika
nyakati tofauti.
Chanzo
hicho kimeeleza kuwa, wawili hao walimwagana tangu Januari 2, mwaka
huu, nyumbani kwa Nay wa Mitego, Manzese jijini Dar es Salaam baada ya
Siwema kujiridhisha kuwa mpenzi wake huyo anamsaliti kutokana na
ushahidi wa meseji alizozifuma.
Hata hivyo,
chanzo kilizidi kumwaga ‘ubuyu’ kuwa, wapendanao hao wamekuwa
wakizinguana mara kwa mara na kilichomuuma zaidi Siwema ni baada ya
mkali huyo kuachia video yake mpya ya Nakula Ujana ambayo ameonekana
katika pozi za kimahaba na warembo kibao.
Baada ya
kuipata Habari hii Swahili tv iliimtafuta Nay ilikuweza kujua ukweli
lakini alipokea simu na alipoulizwa akajibu yuko studio ataturudishia
simu bado tunaisubiri.
No comments:
Post a Comment