Monday, 13 January 2014

DEREVA WA BODABODA NA MTEMBEA KWA MIGUU WANUSURIKA KIFO BAADA YA KUPATA AJALI ENEO LA MAMA JOHN MBEYA


 Bodaboda muda mchache baada ya kuanguka baada ya kumgonga mtembea kwa mguu aliye kaa chini upande wa kushoto baada ya ajali hiyo.
 Dereva wa Bodaboda aliye lala pembeni akiwa amelala Chini baada ya kumgonga mtembea kwa miguu, chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa bodaboda hiyo.
 Hapa ndipo Ajali ilipotokea , walinusurika kifo kwasababu Lori pichani lilikuwa halipo mwendo kasi
 Baadhi ya mashuhuda wakiwa wanamuombea msaada dereva wa bodaboda kwenda Hospitalini
 Dereva wa Bodaboda akiwa anachukuliwa kupakiwa katika gari na kupelekwa hospitali kwa matibabu
 Baadhi ya Mashuhuda 
Alivevaa jaketi la Pinki ni kijana ambaye ndiye aliyegongwa na bodaboda

No comments: