Sunday, 26 January 2014

Mambo ya Zhengzhou China haya hapa hii ilikua 2013


 Nimemaliza safari ya farasi salama
 Mdau Omary naye alikuwepo
 Hata majogoo wetu wanaweza hii
 Jamaa anachanja mbuga juu ya barafu 
 Moja ya maeneo ya michezo ya majini lakini sasa maji yameganda
 Moja ya maeneo ya michezo ya majini
 Navinjari na mdau
 Nipo na Mdau
 Duuh! Farasi si mchezo...
 Wachina noma kwa kucheza na farasi
Mao, Mtu anayeheshimika China hadi hii leo

No comments: