Kama wewe ni shabiki wa Jennifer Lopez basi utakua umezimiss sana kazi zake kwenye muziki.
Same girl ndio wimbo mpya kutoka kwa JLo ambao umeandikwa na Chris Brown.
J Lopez ametumia muda wake akiwa studio na Future, Big Sean, Robin Thicke, Sia na Red One kuandaa nyimbo za album yake ya kumi.
No comments:
Post a Comment