Monday, 13 January 2014

Picha za birthday party ya mama yake Beyonce aliyoandaliwa na wanae.

1


Beyonce na mdogo wake Solange wametumia kiasi kisichopungua dola 100,000 kumuandalia luxury Masquerade birthday party mama yao alivyofikisha miaka 60.

List ya mastaa waliofika kwenye party hiyo ni Jay Z,The Dream, K. Rowland,Jenifer Hudson,Monica na wengine wengi.


5                                           Mama huyo Tina Knowles amefikisha miaka 60 .

2
3
4

No comments: