Monday, 8 December 2014

Post ya Davido iliyozua utata kwa wapenzi wa Muziki Afrika Mashariki.

dvdUsiku wa December 07 Tanzania imechukua tena headline kwenye vyombo mbalimbali vya habari na hii ni baada ya Mtazania Idris kufanikiwa kushinda kwenye shindano la Big Brother Hot Shot 2014.
Usiku huo huo baada ya ushindi wa Idris,Diamond alipost tuzo aliyoshinda Nigeria baada ya matukio hayo kufanyika,Hit Maker wa single kadhaa ikiwemo Skelewu Davido alipost kitu ambacho kimezua tafsiri tofauti tofauti.
Post ya Davido ilisomeka >>’N they Cheat again lol’ baada ya muda mfupi post hiyo aliifuta ambayo bado Watanzania wamekua na maswali tofauti kuhusu hicho alichokiandika.

No comments: