Tuesday, 9 December 2014

Huenda hujasikia hii ya kikombe cha umeme, kina uwezo wa kukuonyesha kama una kiu…

cup
Haya ndiyo maendeleo ya kiteknolojia ambapo unaambiwa hiki kikombe kina uwezo wa kupima cafeine kutoka iliyopo kwenye kinywaji unachokunywa, pamoja na kitu kingine chochote ambacho kimo ndani ya kinywaji hicho hata kama ni kilevi, iwapo ukanywa halafu ukashusha kikombe chini na una kiu bado kinakupa ishara kwamba unatakiwa unywe tena kinyaji unachokunywa.
Kikombe hicho kinatumia app maalum ambapo unaweza kukifanyia sync kupitia Bluetooth, iPhone Operating System na Android app, unaweza kukichaji kwa Wireless, kina uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa siku tano mpaka siku saba na kinaweza kuingia chupa moja ya soda ya kawaida

No comments: