Thursday, 11 December 2014

Chidi Benz ameyaandika haya kuhusu ishu ya Diamond na Davido, Zitto na MwanaFA ni miongoni mwa walio like.

Diamond DavidoKuna habari nyingi zinaandikwa sasa hivi kuhusu uhusiano wa Diamond na mwimbaji Mnigeria Davido ambae weekend iliyopita wakati mshindi wa BBA 2014 alipotangazwa kuwa ni Mtanzania Idris aliandika tweet iliyoanzisha tatizo.
Wengi walimuelewa kama kaidiss Tanzania kwa kumaanisha haikustahili kupata ushindi wa Channel O awards tatu alizoshinda Diamond na vilevile labda haikustahili ushindi wa BBA pia.
Sasa kutokana na kinachoendelea sasa hivi rapper Chiddi Beenz ameamua kuyatoa yake ya moyoni kupitia page yake ya facebook leo kama inavyosomeka hapa chini baada ya Watanzania kuendelea kumtukana Davido kwenye mitandao yake ya kijamii na hata reaction ya Diamond mwenyewe baada ya kushinda tuzo nyingine Nigeria.
Diamond NIG

Benz

No comments: