Weekend iliyopita imeisha kwa habari za
kuisha kwa penzi la Chris Brown na Karrueche, halafu story kuibwa ya
pili ikawa yale madongo ambayo kila mmoja akimtuhumu mwenzake kwamba
ndiye sababu ya mapenzi yao kuisha.
Imekuwa ni kama mchezo wa kuigiza kwa
wawili hao kuachana na kurudiana, lakini kupitia ukurasa wake wa
Instagram Chris ameandika ujumbe wa kumuomba radhi Karrueche huku
akisema hajali watu wanamchukuliaje.
Ujumbe huo unasomeka hivi; ” Being
young and dumb is one of my strong suits and emotional at best. I love
hard and react impulsively when I’m hurt at times. I don’t think social
media is a place to air out or hash out personal problems and a nigga
feel hella WACK for doing it. So I AM APOLOGIZING I live in a glass
house and the same sh*t that makes me great also is my curse. Everybody
know I love that girl. I don’t care how my image my look to the public
because I’m still gonna be the best at what I do. I just want baby girl
to know I apologize!
Ujumbe huo umewekwa na picha hii
No comments:
Post a Comment