Kikao cha
semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kilichokuwa kiendelee leo
saa nne asubuhi baada ya Mwenyekiti wake wa Muda Mhe. Pandu Amir Kificho
Kuaarisha jana mchana sasa kitaendelea leo tarehe 8 machi 2014 saa tisa
alasiri. Hii ni kutokana a kamati ya maridhiano inayopitia vifungu
ilivyokuwa inafanyia kazi kuomba mda zaidi.Hivyo wajumbe wote wa Bunge
maalum wanaombwa kufika Bungeni kuendelea na semina hiyo saa tisa
alasiri badala ya saa nnne asubuhi.
Imetolewa na Katibu wa Baraza la wawakiliashi na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
|
Saturday, 8 March 2014
Semina ya wajumbe wa Bunge maalum imeahirishwa mpaka saa tisa mchana leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment