Uliwahi
kusikia zile stori za Arusha kwamba Wanawake wanauwawa hovyo kwa risasi
wakiwa kwenye magari yao nje ya mageiti ya nyumba na sehemu nyingine?
uliwahi kusikia kuhusu wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji hayo? uliwahi
kusoma taarifa kwamba ni mauaji mpya yanayochukua kasi Arusha? kama
ndio… basi Polisi wametoa taarifa ifuatayo.
Imeripotiwa na Radio One Breaking News inasema >>> ‘
Mtu
mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Ramadhan Abdallah Jumanne ambae amekua
akiwaua kwa kuwapiga risasi Wanawake mbalimbali jijini Arusha, ameuwawa
katika mapambano ya kurushiana risasi na Polisi’
No comments:
Post a Comment