Monday 21 April 2014

Zaidi ya watu 20 wamefariki papo hapo kwenye ajali ya basi la Luwule

wwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww

Zaidi ya watu 20 wamefariki dunia papo hapo na wengine wengi kujeruhiwa baada ya basi la LUWULE walilokuwa wakisafiri nalo kutoka Musoma kwenda Mwanza kuacha njia kugonga nyumba na kupinduka katika kijiji cha Itwimila wilaya ya Busega.

No comments: