Friday 18 April 2014

HAWA NDIO WATAKAO ONGOZA MAANDAMANO YA KATIBA YA UKAWA



UKAWA kuongoza maandamano ya kudai KATIBA MPYA itokanayo na maaoni ya wananchi nchi nzima. Ratiba ya awali imeshatolewa na kila kiongozi atakayesimamia itakuwa kama ifuatavyo:
1. Arusha- John Mnyika
2. Dar es salaam- Lema na Sugu
3. Mwanza- prf. Lipumba na Lissu
4. Kilimanjaro- Zitto kabwe na Chiku Abwao
5. Mbeya- Maalim Seif
6. Iringa- Shibuda na Nassari
7. Shinyanga- Wenje na Selasini
8. Pemba- Mbowe na Ana komu
9. Tanga- Halima mdee na Salvatory Machemli.

No comments: