Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta(katikati) akizungumza na
wajumbe wa Kamati namba mbili(2) jana mjini Dodoma alipotembelea Kamati
hiyo kujionea maendeleo katika uchambuzi wa sura ya kwanza na sita ya
rasimu ya Katiba mpya. Wengine ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo,Shamsi Vuai
Nahodha na Mjumbe wa Bunge hilo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda .
No comments:
Post a Comment