Basi
 la Japanese lenye namba za usajili T 261 CMK aina ya YUTONG likiwa 
limetumbukia mtoni na kusababisha abiria kadhaa waliokuwa wakisafiri na 
basi hilo kutoka Ikonda wilayani Makete kwenda Makambako mkoani Njombe 
kujeruhiwa. Hadi tunaondoka eneo la tukio hakuna abiria aliyepoteza 
maisha na majeruhi wote waliwahishwa hospitali kwa matibabu zaidi. Ajali
 hiyo imetokea jana majira ya saa nane mchana.
 Majeruhi wa ajali hiyo akizungumza na mwandishi wetu muda mchache kabla ya kuwahishwa hospitali kwa matibabu zaidi.
Mmoja
 wa wafanyakazi wa basi hilo ambaye naye amejeruhiwa kidogo katika ajali
 hiyo akiwa katika hali ya huzuni. Taarifa na picha zaidi za tukio hilo 
zitakujia hivi punde endele



 
No comments:
Post a Comment